Katika segment hii ya 'What's in your wardrobe' tutaangalia watu mbalimbali wanavyo panga vitu vyao hasa viatu, nguo na handbags katika mpangilio sahihi ili kupata urahisi pale unapohitaji kuvaa kitu fulani Je unajua ni wapi pa kukipata kirahisi...ni kabati la chini, juu au....
Ukipanga vitu vyako vizuri itakusaidia katika yafuatayo:
- Kuwa na vitu vyako katika mpangilio sahihi na nadhifu zaidi
- Kuepuka kununua kile ulichonacho tayari sababu uwezekano wa kujisahau kuwa kiatu fulani au blauzi ya aina fulani unayo ni mkubwa zaidi pale vitu vinapokuwa havijapangwa fresh.
- Kupata urahisi wa kuvipata pale unapovihitaji hivyo kuokoa muda na usumbufu ambao ungeweza kujitokeza.
Eva Longoria akiwa ndani ya wardrobe yake
Kimora Lee ndani ya wardrobe yake, anasema alitaka wardrobe yake iwe kama boutique and zaidi ya 500 pairs of jeans. Kila kitu kwenye wardrobe yake kimepigwa picha na kuwekwa kwenye computer yake ili iwe rahisi kujua anavaa nini leo. That is creativity!!!
Paula Abdul na wardrobe yake.....viatuz dah.....
Kazi ni kwako, chukua maujuzi na ukajipangie viwalo na accessories zako.....
0 comments:
Post a Comment