karibuni sana......
Leo tutaanza na.....
Nini si cha kuvaa Ofisini:
- Nguo zinazoonyesha sana maungo ya ndani.Mikanda ya sidiria, mistari ya chupi si vitu vya kuvionyesha kazini kwa wafanyakazi wenzio.
- Nguo fupi sana zinaonyesha kuwa unajaribu kujazia mapungufu yako ya utendaji kwa njia nyingine.
- Nguo zinazoonyesha ndani/see-through clothes. Angalia nguo uliyovaa kwenye mwanga asilia kabla hujaondoka kuhakikisha huonyeshi zaidi ya vinavyotakiwa kuonekana.
All the best .....
0 comments:
Post a Comment