Social Icons

MAKAVU LIVE


MAKAVU LIVE.....


UJANA

 
LET HIM LEADLet him lead....

ARE U IN A RELATIONSHIP WITH A MAN WHO IS LESS EXPERIENCED, LESS EDUCATED, LESS EXPOSED, OR LESS ANYTHING THAN YOU? THIS IS WHAT YOU SHOULD KNOW............

(1)The fact alone that he was courageous enough to pursue, approach and propose you despite your achievements, shows that he is a man enough to do, become and succeed in anything else......Respect him and give him credit for that.

(2)Nothing can change your Gender be it your achievements, your cars, your degrees, your beauty or what ever.....And nothing will make a Man happy and fulfilled than a Woman who has A quite spirit, gentleness, humility, and submission should be your lifestyle.....LET HIM LEAD.

Here’s the thing — in love and relationships, we seem to be "hard-wired" as women to let the man lead.

I know it sounds unfair — but that’s actually how it is in most cases.

See, we women are natural born "Back Leaders."

And yes, I HAVE seen that relationships in which the man took the lead work out SO MUCH BETTER than relationships in which the woman took a more direct role.

Lets look at this example......When an experienced female dancer is dancing with a newbie male dancer, she doesn’t take the lead — instead, she dances in a way that encourages him to take the lead and do things right.....And guess what she does:

(a)She covers up his little mistakes and act as if they don't count,

(b)She emphasizes his strengths and encourage him that he is doing it best,

(c)She gracefully moves the dance forward — without ever taking the lead.

(d)She appreciates and celebrate in whatever small achievement the man achieves

(f) She does not nag, or criticize him publicly and proudly, but she corrects in love and in private.

Use these "Back leading" techniques in relationships and you will encourage the man in your life to become the best of himself and take control of your relationship.

LET HIM LEAD and YOU WILL BE FOREVER HAPPY....

WHY ARE YOU CRYING

Ladies, are you crying because he left you? 'Honey, you gonna live, you ain't gonna die, how were you when you met, you had lived 20 some years before you met. Yes it will hurt at that time and i understand that you feel bad that he walked out on you.

Honey look, when somebody leaves you before they left you that relationship would have already been bad.... "If if was a thief we would all be broke" 

1 John 2:19 
19 They went out from us, but they were not of us; for if they had been of us, they would no doubt have continued with us: but they went out, that they might be made manifest that they were not all of us.


KUSTAAFU

Je umejitayarisha vipi na kustaafu? Unajua utastaafu lini na kivipi? Je akili na mawazo yako utazilisha nini pale utakapoacha kufanya kazi au shughuli uzifanyazo sasa? Vipi kuhusu kipato chako umeshajua utafanyaje pale kazi au shughuli yako ya kila siku itakapofika mwisho, utajisupport vipi na wale wa karibu na wewe wanaokutegemea#TafakariChukuaHatua

UMASKINI

Ukiwa mchafu wa mazingira yako mende,panya na wadudu watagawana vyumba nyumbani kwako. Ukiwa mchafu wa mawazo na mtazamo umaskini lazima ukukabili sio lazima umaskini wa mwili hata wa kimawazo. 

Utajuaje una umaskini wa kimawazo 
1. Husamehi haraka unabaki na donge moyoni

2. Hufurahii maendeleo au mafanikio ya wengine

3. Hutaki kushirikiana na wengine mbinu ulizotumia ili kupata mafanikioMABADILIKO
Umetoka au unaelekea kazini au mizunguko yako ya kila siku, uko kwenye foleni let's say mataa ya morocco ukiangalia pande zote za barabara unawaona watoto wadogo wa mitaani ambao kikawaida walitakiwa wawe mashuleni au majumbani lakini wengine maisha yamewafanya wawe wa mitaani sio kwa kupenda ila imebidi. Ushawahi jiuliza mtoto mdogo kama yule anawaza nini juu ya kesho yake? I've seen beautiful smiles on their faces hasa ukionyesha small interest ya kumjulia hali hata kumwambia mambo tu au hujambo mtoto ukamwacha apretend kuosha windscreen yako nawe ukapretend kumpa mia au mia mbili iliyoko kwenye pochi yako ukasonga mbele na safari yako. Huwa najiuliza sana wanatokea wapi hawa watoto ndio kuna masugu wanaonekana ila najua mtoto ni mtoto tu hata kama maisha yanamfanya awe sugu, jeuri na mtukutu kama jamii inavyojaribu kumjudge.

Kesho ukiwaona barabarani jaribu kuwaangalia kwa jicho la tatu na hebu fikiria kama yule ni mwanao, mdogo wako au ndugu yako ungefanyaje. Mabadiliko yanaanzia kwangu na kwako......MDADA WA MUJINI


Mdada toka uanze kufanya kazi huu ni kama mwaka wa 3 una uhakika wa kipato cha uhakika kila mwezi kinachotokana na mshahara. Unakaa kwenu bado so pressure za kodi wala bills huna wengine mnawekewa mafuta bado na wazazi ya gari yako kama sio kutumia gari la nyumbani kabisa. Kazi yako sasa ni kukimbizana na fashion. Kisiingie kiatu unacho, ingizo jipya la pochi unalo, simu latest ushanunua, nguo fashion ina siku tu huko London fashion week we ushaoda online inakuwa delivered kesho. Kabatini una nguo mpaka zinafurika, viatu mpaka umuone mtu kavaa ndio unakumbuka una kiatu kama hiko, pochi nyingine mara ya mwisho ulibeba kwenye ubarikio wa mtoto wa jirani yake na mjomba mwaka juzi na hujawahi igusa tena. Hela yako inateketea kukimbiza fashion na keeping up with technology gadgets ukitembea unabeba BB10, BBQ10, samsung galaxy s4 na ipad bila kusahaui iphone 5 mpaka mikono inauma kubebelea mizigo ya technology ili tu ufanye updates facebook na instagram uoanekane nao wamo hapa mjini.

Kwenu unalalia kitanda kile kile toka una miaka 5 mbaya zaidi godoro lile lile hata shuka ya kujifunika wazazi wanunue, hujawahi hata kupaka rangi ukuta hata wa banda la kuku huko uwani kwenu let alone kufanya jambo la maana na hela yako ya kipato. Una invest kwenye mavazi na accessories walahi amka tena uamke spidi kwenye usingizi mzito uliopo sababu lazima ujue fashion will always keep on changing chagua taste yako na flavour yako na ufocus kwenye hilo vingine viachage vikupitege pia hutapungukiwa na kitu

#Jiwe limerushwa gizani, ukisikia yalaaa limemgusa mtu.....ila ukweli unaujua....FORGIVE AND FORGET
Forgive people and move forward. – Don’t live your life with hate in your heart. You will end up hurting yourself more than the people you hate. Forgiveness is not saying, “What you did to me is okay.” It is saying, “I’m not going to let what you did to me ruin my happiness forever.” Forgiveness is the remedy. 
It doesn’t mean you’re erasing the past, or forgetting what happened. It means you’re letting go of the resentment and pain, and instead choosing to learn from the incident and move on with your life. Remember, the less time you spend hating the people who hurt you, the more time you’ll have to love the people who love you.

APPROVAL
No matter what you do, what you say, or who you become, there will always be someone who doesn’t approve. There will always be someone who thinks you’re too much or too little. Someone who finds you too obedient or too outspoken; too sensitive or too cold; too needy or too distant; too serious or too immature; too much of who you really are and not enough of who they really want or need you to be. And that’s okay. It’s impossible to please everyone, and more importantly, you don’t exist to conform to other people’s standards. 

If someone doesn’t like who you are, that’s their problem — not yours. You can’t live your life based on other people’s needs and expectations, especially not when it means compromising who you are and what makes you happy. You have to make your happiness and well being a priority. You have to let go of the idea that you need other people to validate your worth. You have to believe with absolute conviction that who you are is exactly enough. You have to trust that who you are is all you need to be.

TAKE CONTROL
Quit calling people who never pick up and/or take forever to call you back! (They lack common courtesy, are into someone else and/or simply using you at THEIR CONVENIENCE) Quit texting people who don’t reply in a reasonable amount of time (They ain’t that damn busy no matter what they say) Stop chasing after people because they don’t need to be caught! God doesn’t want you pleading and be...gging for anyone’s attention so STOP THE MADNESS NOW THIS VERY MOMENT!
You deserve someone who gladly picks up when you call wanting to hear your voice that makes yall both smile, replies promptly to your texts and treats you with common decency! YOU BEEN ALLOWING AND PUTTING UP WITH THIS TYPE OF BEHAVIOR TOO LONG! NEVER SETTLE FOR THIS NONSENSE! Let go and let God!

STORM

No storm last forever, just long enough to cloud your view and make you forget what it’s like to see the sun. You have to learn that you can find peace in confusion, and hope in despair, and that God is still there, even in the ruins. And that just accepting the fact that you are loved, should be enough.

FACT

Any woman can spend a man's money, ride in his car, lay up in his crib, order off the menu, & spread her legs. But only a REAL woman can help a man achieve his goals in life, supports him with his dreams, constantly pushes him to be successful, showers him with positive energy, compliments him on a regular & never kick him while he's down. INSTEAD SHE PRAYS FOR HIM & LIFTS HIM UP!

Guys, if you find a woman like that....'Thank God'....and Ladies if you are that kind of a woman 'You are blessed....'

LOOK OUT FOR OTHERS....

You never really know how much the people around you are hurting. You could be standing next to someone who is completely broken inside and you wouldn’t even know it. So never deprive someone of hope; it might be all they have. And remember that there are two ways to spread light in this world: You can either be a flame of hope, or a mirror that reflects it. Be one of the two every chance you get.

THINK ABOUT IT.....


Shout out to the lovers out there.....

A real relationship must have simple fights, trust, faith, tears, and genuine laughter. Jealous, Communication, patience, weird/stupid unnecessary arguments; no hiding secrets, true love and most importantly there must be forgiveness on both sides.
 No one is perfect on earth, we all make mistakes in our relationships but the best solution is to accept your mistakes and say SORRY to your loved one. It’s a small word but it means a lot. Many of us find it so hard to say it out yet it costs nothing, but it only eases the tension between lovers. Say it from deep inside your heart. Don’t fake it please but just mean it always.


 And if he/she is the one in wrong never get tired of forgiving him/her depending on what they have done. If you get to think of moving on because you’re pissed, my dear think of where you’re going, the time you will take to find & fit in a new relationship, The imperfectness you will find with that new lover might be incomparable to the one you dumped, then you will start regretting and wishing you never dumped her/him.

Think about it my dear friends having it in minds that WE HAVE GOT NO ANGELS ON EARTH. We’re the ones to transform our men/women to be like angels

So be proud of the one you have got and fight all the challenges that are trying to tear you apart. Right now you may be seeing your guy/girl as a fake person but some dude/girl is somewhere seeing him as a handsome king/beautiful queen.
They’re wishing and praying you fall apart for them to replace you.

THINK ABOUT ITKING/QUEEN....

Photo: When you find a king? Keep him. When you find a queen? Love & protect her. Don't reshuffle your cards or you might just end up with a joker...#shikena

Via Soji Oni
When you find a king? Keep him. When you find a queen? Love & protect her. Don't reshuffle your cards or you might just end up with a joker...

NEXT BEST THING....

Lord, so many people are in a hurry to the next best thing but i want to learn to enjoy what you have placed before me… Sometimes I need to be slowed down so I can soak up this impressive world I live in… Lord, please teach me how to allow myself to be happy and enjoy the good things you bring my way… Help slow me down and shut my mouth and allow the good to flow to me…

HAPPY ENDING.....

But sometimes we’re so focused on finding our happy ending we don’t learn how to read the signs. How to tell from the ones who want us and the ones who don’t, the ones who will stay and the ones who will leave. And maybe a happy ending doesn’t include a guy, maybe.. it’s you, on your own, picking up the pieces and starting over, freeing yourself up for something better in the future.

Maybe the happy ending is just moving on. Or maybe the happy ending is this, knowing after all the unreturned phone calls, broken hearts, through the blunders and misread signals, through all the pain and embarrassment you never gave up hope.

LOVE COMES FROM GOD...

Do you know where to seek/look for love......

Love comes from God; there's a difference between love and lust.."lust focuses on the things which are seen/tangible whereas love focuses on a persons character and heart..,OT on his/her looks;what he/ she have..NO that's is lust. I am saying Love comes from God....

Simple it means if you're looking for love seek God first and all things will be ad...ded unto you. Pray and tell God that you need a partner;wait patiently for God to answer your prayers;use your faith,rely totally on God and His promises to send your soulmate to u. Only God can give you Mr or Mrs Right,Only God not your friends; or your family Only GOD is able..because He is God;He knows you;He knows your heart;He knows your weaknesses;He knows your flaws and He is able to give someone who will fully complete you.

Let us stop living like God doesn't exist;let us stop thinking we can get things ourselves cause honestly we can't do it alone;we need God to help us. Now the sooner we admit that the better life will be. Just pray;tell God you're lonely and you need a friend;He will help;he hears all our prayers and He answer each and everyone of the at the right time. Let us respect ourselves while we are waiting on God promises in our lives.

Allow God to help you find true love.....genuine love that is...

God bless you all....

YOUR MINDSET....

'If you think you can, you can. And if you think you can't, you're right'

When it rains it pours. Maybe the art of life is to convert tough times to great experiences; we can choose to hate the rain or dance in it. Life is not about getting through the storms, but about dancing in the rain. God doesn't work with your timetable He knows when to let things happen; never too late, never too early. So the best is to learn how to enjoy as you wait for things to happen at their own time. It's not the load that breaks you down, it's the way you carry it. You can't stop the waves, but you can learn how to surf. Stress is not what happens to us. It's our response to what happens. And response is something we can choose.

If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. Don't complain. Your living is determined not so much by what life brings to you as by the attitude you bring to life, not so much by what happens to you as by the way your mind looks at what happens. If your own mental attitude is correct, even if you remain in a hostile atmosphere, you will feel happy. It's never too late to become what you might have been. Your prayer should be

''God, grant me the serenity to accept the things I cannot change; the courage to change the things I can; and the wisdom to know the difference ''


UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI......

Vijana wa siku hizi ndo maana tunakufa mapema..Hatuwajali wazazi tunaendekeza sana starehe...
Mungu amekubariki umepata kazi nzuri angalau,mkumbuke mama yako japo umbadilishie Kitenge chake kilichochakaa..Mkumbuke Babako japo na kiatu,kila akikivaa ajisikie kweli ana mtoto...Kumbuka wadogo zako japo na Uniform mpya uwapunguzie mzigo wazazi kwa vitu vidogo vidogo..

Sasa wewe ni Bar tu,Bata tu,kila mahali unajifanya we ndo wewe wakati wazazi wamekusomesha kwa shida,walijinyima ili uwe na maisha mazuri,umewasahau..

Unajidai wa kishua sana mtaani wakati nyumba yenu imeezekwa na bati la msaada limeandikwa KORIE mafuta bora ya kupikia na kenchi za miti...Kumbukeni mlikotoka,kidogo ulichonacho jaribu ku-improve maisha ya nyumbani kwenu.

Wazazi wakikubariki hata mambo yako yatakunyookea.,Tunakosa baraka hivi hivi kwa kujifanya wajuaji..Ushauri tu wa Bure...Love your parents

Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

MAPENZI.....

Hakuna haja ya kukimbilia Mapenzi,kama yapo yapo tu..Na huna haja ya kuogopa kumpoteza huyo uliyenaye,kwa mawazo kwamba akiondoka hutapata kama yeye..hapana...kama anakupenda hataondoka,na akiondoka basi utapata better replacement...hivyo ndo mapenzi yalivyo

Huna haja ya kutumia mbinu kulinda penzi,wengine hadi limbwata kwa Dokta ma-Mbwa mbwa ili kumlinda mpenzi asiibiwe,mapenzi hayana uchawi,mchawi ni wewe mwenyewe jinsi gani unavyojua kutumia ungo kupepeta na unavyoweza kuutumia kupaa nao pia

Ukimpenda mtu lakini ikashinikana basi shukuru maana huwezi jua Mungu amekuepusha na Jini gani ili akupe Malaika wa kukufaa maishani...Utang'ang'ania kibwengo na kukataa Malaika bila kujua

Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

USIBWAGE MOYO...

Unapojibeba na Ndoo nyingi za upendo na kuubwaga Moyo wako kwa mtu asilimia 100 ubakize angalau kigudulia cha Lita 5 za Machozi kama Back Up maana maumivu ya mahusiano siku hizi yanatokea tu ghafla kama Mafuriko ya Dar unajibwaga mwenyewe unalala zako na kuota ndoto ukijua kila kitu shwari unakuja kuamka kumbe moyo wako umeshasombwa na Maji siku nyingi.

..Itafikia muda tutaanza kupenda kwa Slow motion sasa maana maumivu yamezidi...

The people you trust wanakamua hadi tone la mwisho la Upendo wako,mioyo ya watu wengi imebaki Scrapper tu,inachukua muda kweli kufall in love kama kubadili gia ya Landrover kwenye mlima Kitonga


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

BILA CHENGA.....

Kama una mpango wa kutoa mimba kesho tafadhali usifanye Mapenzi leo

...Haina excuse..

.Kama unaogopa wazazi wako ungewakumbuka kabla hujafanya,kama unajua ni mwanafunzi badala ya kufanya ungekuwa Library unasoma... kama unaona huna mpango naye unafanya naye nini? si umpotezee mambo yakishajipa unaanza oooohhh hana mpango......

Every Debit entry must have a corresponding Credit transaction,haina shortcut....

Am proud to all Women and men who know how to do it and keep it they know how to man up and be a man about it,kiumbe unayemuua hana makosa,makosa ni wewe kufanya upumbavu huku huna ujasiri wa kutetea upumbavu wako...am done!


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/ 

MAPENZI SI KAMA ATM

Mapenzi sio kama ATM,unakimbilia pale ukiishiwa tu ili ujaze mfuko wako then basi...

Mapenzi yanapaswa kuwa kama duka la kufanya Shopping....Unakwenda na wallet iliyojaa Hela,unakutana na Mangi mwenye Duka...Unachagua bidhaa unazotaka,na unalipa Hela upate Nguo...

Mapenzi ni tit for Tat Business....Love is Giving and receiving....Ni kama Transaction...Ndio,Mapenzi ni Muamala ni lazima ukamilike

Mapenzi ni Give and Get na sio Receive Only...Ukiona kwenye Mapenzi wewe unatoa tuuuu kama ATM bila kupokea kitu ujue hilo sio Penzi...

Na ukiona kwenye Mapenzi unapokea tuuuuu kama Wallet...jua hilo sio Penzi sahihi

Toa Penzi Sahihi na Upokee mahaba Sahihi,Love is a two-way Traffic Transaction from a lover to a Lover, and not otherwise


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

MOYO WA MWANAMKE......

Moyo wa Mwanamke ni Kama Dhahabu...Ukipata bahati ya kuupata ukawa mali yako usiuache tu popote kama Mlevi anavyoacha Simu akienda kujisaidia...Utunze kama unavyoheshimu Subscription yako Ya bLackberry ikiisha unawahi Fasta kuongeza...

Moyo wa Mwanamke sio kama Funguo ya gari unairusharusha tu hata ikianguka ikitapakaa mchanga unapuliza tu...

Mwanamke akikupa Moyo wako ushikilie kwa nguvu,ukave na kila aina ya Vumbi,usiuchezee karibu na Matope maana ukiangukia humo hautatakata tena,utabakia na mabaki ya Matope...

Soma zaidi hapa http://sethought.blogspot.com/


NGUMU KUMEZA.....

Sio kila anayebreak up na wewe hakupendi,Ni mkatili,Hajali,Ni player,hana shukrani,au amekutumia kama brashi ya Kiwi halafu anakuacha na dawa nyeusi na kukusokomeza chini ya kitanda

Wengine wanaomba Break Up baada ya kujitathmini na kugundua kwamba wewe,ur too good for them na hawastahili hata kidogo kukumiliki,wanaacha mwenye stahili akupate.Sasa wengine wakiachwa wanaanza shombo,Mwanaume atakuwa Yule,Janaume halina shukrani nimelivumilia tangu liko Kapuku hadi leo linajua hata kuweka panga kwenye suruali!

Kama nimegundua una penzi 100% kwangu na mimi nna 20% kwako nifanyeje?80% yote nakunyonya wewe,nakuwa kama kupe,naamua kuwa mkweli kwa nafsi yangu tu,kwanini nikudanganye na kukupotezea muda nije nikudissapoint baadae wakati nimeshajua mapema,naamua kumuachia mwenye 100/100 aje akupe unachostahili

Je,kuna kosa hapo hadi muanze kubweka kama mbwa koko wa mjumbe kisa umetiwa konzi??

Kusoma zaidi hapa

UNACHUNGUZA NINI? WEWE TAKUKURU......

Kama mmekaa zaidi ya miaka 3 kama wapenzi na bado hujamjua kitabia basi hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni heri umuache aende zake. Wale mabingwa wa kuwaweka watoto wa watu uchumba miaka 6,ukiulizwa eti unamchunguza, miaka 6 unachunguza binadamu kweli??Mfanyie upasuaji tujue moja, mtu mpaka anazeeka unamchunguza tuuu, halafu mwishowe uje umdump...

Its not fair, kama sio muoaji muache mtoto wa watu atafute wa kumuoa maana wewe umegeuza mapenzi TAKUKURU unachunguza tu bila mwisho, sio muoaji wewe!


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

 UNA PLAN GANI......
Kabla hujamtokea na kuufIlisi moyo wake kwa manufaa yako binafsi hakikisha una Plan nae....kama plan zako kwake ni fupi kama minyoo ya choo cha cha Stendi ya Ubungo ni heri usimtokee kabisa, mwache aende zake...Nadhani wanawake mnalia zaidi kwenye mapenzi na mnaumia sana tu, ni wakati wa kuwapenda na sio kuwatamani tu, maana mapenzi kwenu yamekuwa kama Ngoma ya mdundiko usio kuwa na Mwali ili sie tunadunda tu... Kila wakijitahidi kupenda wanakuwa kama Basi la daladala kutoka ubungo kwenda mbezi saa kumi jioni lakini limepaki
Kupendwa isiwe tabu, tusiwaumize, imetosha, tuwapende!Wanaume mmesikia??


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/


ITS CALLED RESPECT.....

PhotoUWIIIII.......TRUTH TO BE SAID.....

Photo
WORLD AIDS DAY

Namna hii tutaisha wengi....Anne is newly married to the Love of her Life & expecting a baby with her husband John, and so she's having unprotected sex because that's her man. John however has a woman on the side, SUSAN, and he is having unprotected sex with her because she's a decent lady, loves "skin on skin", besides that's the only person other than his wife, he's having sex

with, so he tells himself he is safe because its only two women..and he trusts them. Decent Susan has her man, Thomas who means the world to her and she having unprotected sex with him because that's the man she intends to marry. She tells herself she is safe because she only has two men, John a married man and Thomas.... 

But Thomas has an outside woman named Cathy a young "good" undergraduate he's also considering to marry, and is having unprotected sex with her because to him Susan is faithful so he tells himself its only two women he is having sex with so it cant hurt him. Cathy on the other hand has no personal man, just friends or lecturers who assist her "ministry" when she has urges and Thomas ain't around. Do you see where this is going???
Everyone thinks that they are safe when in fact they are so unsafe&at risk. If u agree wit me on this, Join the Fight Against HIV/AIDS/ STDs Virus by Forwarding this Broadcast. It all starts with you u can either ABSTAIN &if your are married be CONTENT& DISCIPLINED or teach your spouse to be that which u long for outside e.g "bedmatic" techniques, dressing etc.... more importantly keeping open lines of COMMUNICATION goes a long way).


Anyway welcome to December....30 or so days left to the end of 2012....#Food for thought....AIDS IS REAL...You can get rid of the pregnancy just like dropping hot coal like a lot of people do sadly, but AIDS you will need more than that so DISCIPLINE YOURSELF....
NI HERI.....


Ni heri uishi kwenye nyumba ndogo sana lakini ni ya kwako na imetokana na jasho lako,kuliko kujisikia fahari kukaa kwenye nyumba kubwa ya kupanga ambayo si yako..
 

Ni heri uwe na Msichana wa kawaida,mwenye upendo wa kweli ambaye unammiliki peke yako kuliko kuwa na demu mkali,shape hinhaa,lakini ana wamiliki wengi kama Hisa za Facebook New York Stock Exchange..
 

Ni heri uwe na Mwanaume wa kawaida mwenye hela za kawaida tu za kubadilishia mboga,lakini mwenye upendo wa dhati kwako kuliko kuwa na Mwanaume tajiri lakini jeuri na anayedhani pesa ni kila kitu kwake,utakuwa mtumwa.


MAPENZI  YA SIRI.....

Anakwambia, mi nakupenda ila naomba mapenzi yetu yawe ya siri watu wasijue.Hakuna kitu kinaitwa Mapenzi ya Siri duniani,kama anakupenda mwambie masharti aache nyumbani kwao.Siri ili iweje???Utaambiwa mimba nayo ya siri,na kisha ndoa itakuwa ya siri,na utaachwa kisiri-siri...

Waogope watu hao,na wewe uliyeko kwenye mapenzi ya Siri utadhani mnacheza Kombolela,ZINDUKA..Mtu akikwambia muwe na mapenzi ya siri mwambie ajiunge na Usalama wa taifa,huko ndo kuna siri!


Dear Ladies....

 REAL MEN DO EXIST IT'S NOT A MYTH

 


As a young woman growing up in a world where men are labelled "liars and cheaters" and you'll seldom hear the phrase "REAL MEN DO EXIST". Men don't usually know how to treat a woman, that's why we women should show men how:1.Treat yourself with respect; honour your body as it is the temple of God, that includes the way you dress and your posture. A man will notice that and in turn respect you as a woman.

2. Be Independent; Don't wait for a man to spoil you, or shower you with expensive luxuries. Take the effort to indulge yourself in spa treatments, & expensive jewellery. Get educated, have your own pride but remain grounded. There's nothing that turns a man off than a needy woman, he'll only hang on to you for his sexual needs, and wouldnt mind spending on you cause to him its an exchange of services, in other words you his glorified prostitute and He'll treat you as such, the moment he gets you pregnant he'll move on to greener pastures. And when he thinks of settling down, it WON'T be with you.

But be careful not to compete with your man just because you're doing good in the world, and able to take care of yourself (that's where most of the working class ladies go wrong, let a man be a man, let him do his bits in ur life, let him see u want him and ur actually making a spot for him in your life. Otherwise he will wander around not knowing what exactly he needs to do) Am not saying he won't be looking elsewhere even if you were all that but all am saying is if he is 'macho-man' there is nothing you can do about it unless he changes!

3.Be marriage material; This is probably where a few women will disagree with me. No matter how independent a woman is, she should still do things a woman should do; cook, clean, and our natural ability to nurture things etc. That doesn't mean you not entitled to having a house-help around, but make time to do a few stuff yourself. Believe it or not nothing turns a man on than an independent woman, hair down, no make ups, cooking his favourite meal in the kitchen hahaha...

A few myths to get rid of:

A baby wont make him stay; I think we all know that by now, but funny enough some women have such intentions to date.

Sex isn't the only thing that attracts a man; yes you might give it to him from the front & behind, in the kitchen and in all positions. But If that's all you've got to offer, then be prepared to do the same for another man. Be his help mate encourage him, assist him, build him up, believe in his dreams and see that he meets them one day (I'm sure Michelle Obama saw that in Barrack Obama and she helped him be the best man he is today, do the same for your man) do not be a nagging woman that destroys the tiniest dream he has by your sarcastic tone when he shares them with you. We are natural nurtures turn that tab on and have the best man you can ever have in your life.

If a man first lands a hand on you its his fault, the second time is your fault for staying...Trust your instincts and don't let an abusive man abuse you to the point you won't be recognized anymore who you are....
Bado walia tu......

Akiringa huna haja ya kumbembeleza, kama ni udongo wote mmeumbwa kwa udongo asijifanye kuact kama ameumbwa special na utomvu wa mafenesi....!!!

 One who loves you will listen and not cause drama for you to get hurt. Be strong and show him/her that you can manage yourself without him/her...Machozi yako ndio power yake ya kuendelea kukunyanyasa. Kujishusha kwako ndio mtaji wake kukuona wewe kama kinyago na takataka. Don't let anyone treat you lesser than what God made you to be. AMKA MWANADADA/MWANAKAKA........


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/


Makavu liveee kwa ladies wauza sura na wapenda kuishi maisha ya filmeee....mtawafanya wenzenu waibe bureee....


Ni kwamba dunia imebadilika au, Mbona Wasichana wa siku hizi wanapenda sana magari jamani..!!!Siku hizi Love bila gari kwa wanaume imekuwa mshikemshike,msione vijana wanakopa magari, hawapendi, wanalinda penzi tu maana kumpandisha mchuchu bajaj na ile mivumbi na kelele troooh trooo trooooh hadi kero, unaibiwa fasta na jamaa wa mikopo ya Benki na vitoroli vyao..
Umempenda mdada, Unapanga appointment na mtu kwa mfano mkutane mlimani city movie cinema..mnaenda movie..mkitoka nje ya kale kamlango, anakuuliza Umepaki wapi???Khaa! Mnadhani kila mtu anapaki tu?unadhani kupaki mchezo?au unadhani Libya hapa magari unapata bure? Wengine wana upendo magari hawana jamani! kwanini usiulize tunapandia wapi daladala za Mbagala??Hamna cha kupaki wala kupakuliwa, msipende magari ya watu mtakufa na lifti.. Mtu anaishi kimara,bila aibu unamwambia unaomba lifti unakaa Salasala,mnadhani haya magari yanatumia Mafuta ya Nazi nini?? 

Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/


Hii ni kwa Wanawake wenye akili, kama unajijua huna akili usisome.....!!!!!!

Kama kuna mwanaume amekuacha bila sababu yoyote ya msingi, au ametafuta kasababu ka kijingajinga tu ili abreak up, amepata mwanamke mwingine. Ukaumia, ukalia, ukapona, ukapata mtu mkaanzisha mbingu yenu yenye amani na raha tele ,GHAFLA yule mjinga aliyekuacha anaanza kurudi, mara akosee message, atume kwako, mara anajikomba kuomba msamaha kurudi baada ya kuona kule mambo sio , eti shetani alimpitia, kwani siku hizi Shetani ana gari hadi ampitie yeye tu?KAMWE usilambe matapishi.
Usikubali kugeuzwa ARV, vile vidonge, ili umuongezee maisha yeye baada ya kukumbana na virusi vya kuachika huko alikokimbilia kwa mbwembwe. Mwanaume ni msimamo,kama alikuacha kwa sababu, ukikubali kumrudia tena ipo siku atapata sababu tena ya kukuacha na utaumia siku zote.........

Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/


 JIPANGEEEE.........

Life will break you. Nobody can protect you from that, and living alone won't either, for solitude will also break you with its yearning. You have to love. You have to feel. It is the reason you are here on earth. You are here to risk your heart. You are here to be swallowed up. And when it happens that you are broken, or betrayed, or left, or hurt, or death brushes near, let yourself sit by an apple tree and listen to the apples falling all around you in heaps, wasting their sweetness. Tell yourself you tasted as many as you could.”
― Louise ErdrichWISDOM FOR WOMEN!

Beauty attracts men but wisdom keeps them.Elegance catches men's attention but intelligence convinces them. Nagging irritates men but constructive silence weakens them. The 'boy' in every man pumps out occasionally but your ability to handle this is a woman's truest maturity. Men have secrets struggles and silent pains; should you ever find them out exhibit the greatest maturity.

In the long run your 'words' matters more to a man than yours 'looks'. So invest in right words. Earn a man's respect and he will consider you the yardstick for all his actions.

Men will naturally give you their future if they can recall your maturity in yesterday's issue. Women are everywhere but queens are scarce same as bees are everywhere but with only one queen.

LET THE QUEEN IN YOU COME ALIVE AND HE WILL HOLD YOU IN HIGH ESTEEM......Stop short-changing yourself.....
When you don’t know your significance, you will pawn yourself off to anyone or anything, searching for something God has already given you.Ukianza kuona relationship yenu imeanza kuingiwa na masharti kama mkopo wa fedha Bank ujue hapo kimeo kitanuka soon tu!!!!...Unaanza kupewa masharti ya marafiki gani uwe nao, fulani simpendi sitaki uwe nae, wakati mnaanza urafiki hakuwepo kwanini akuchagulie leo? Baby sitaki nikuone Facebook na Twitter naona watu wengi wanaku-follow nasikia wivu sana, jitoe , Baby usiende Club hadi niwepo, mtu anakaa Nanjilinji Mtwara hadi awepo ni leo?Kali kuliko, Baby unanipenda?? Baby kama kweli unanipenda naomba unikakikishie kwa kunipa Password yako ya Facebook na Twitter,khaa!!Kwani Moyo wako una Inbox? Mwishowe ataomba Kadi za Benki kama kweli unampenda....Passwords ni personal issue, ndo maana zinaitwa nambari za Siri.. Kataa utumwa huu wa mapenzi, mtu anayekupenda hana masharti kama una register Kampuni ya Ujenzi na atakuamini, kama hakuamini jua wazi hakupendi...!


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

Mke/Mme mwema hutoka kwa Mungu...Kupata Mme/Mke ni rahisi sana kama utatumia muda wako mwingi karibu na Mungu!!!!.Mungu ndie amekuumba, anajua nani ni mke/mme bora kwako.. Utazunguka Bendi zote, Hoteli zote,utapanda daladala zote, utagawa hata gari ili umkamate mtu wa kuwa mwenza, utajitegeshea mimba, na hutaolewa ng'oo. Kamwe usitumie nguvu na macho yako kujichagulia mwenza...
, mke na mme hawachaguliwi kama uko kwenye bucha unachagua steki na kukataa mifupa ,si ajabu mke akawa ndo ile mifupa uliyoyakataa...!!!Kaa karibu na Mungu, atakupa Hekima na uvumilivu katika kupata the right person for you, lasivyo utazeeshwa kwa kuitwa mama fulani, especially nyie mnaosema wanaume wazuri ni wale wakubwa wa miaka 35 kwenda mbele, eti wanakuwa wametulia, hata maji ya mto hayatulii sembuse mtu??God is the answer,usipoamini hili nipotezee!siku njema!!Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

Ukijijua huna malengo na mtu mwambie tu ukweli ajue anakaa style gani kwenye mapenzi, ukiahidi mtu wewe ndo wangu wa kufa na kuzikana (ndoa) anakaa kama tungunya anakunja na nne kwenye sofa, kumbe unampotezea muda tu, anapata watu wa maana wanakuja na vyeti vyao mikononi anawatoa nduki na maneno mdomoni yanamtoka akijua daktari wake yupo, kumbe mtu mwenyewe hata muhimbili hujaenda umedanganya wewe dokta, ghafla tumbo lamsokota ndo unamwambia wewe sio dokta....!!!Kama ni mtu wa kupass time mwambie ili akae kama yuko kwenye stuli ya counter baa, muda wowote akipata daktari anaruka nae...!! acheni kuwapotezea watu muda kama huna future nae mwambie tu kwamba wewe ni mwamvuli thamani yako masika yakija, jua likiwaka jikatae.....Au sio jamani?mmekalisha watu kwenye sofa wanajua wamefika kumbe wako on Transit (gari zinaplate namba za IT)


Soma zaidi hapa: http://sethought.blogspot.com/

Tutafakari haya....

 • Waninunia mie.....umekosa mwenyewe magoli ya penati utayaweza ya kona.......

 • Japo chungu we meza tu....

 • Kufika utafika hata kama ukitembea....

 • Mola nipe jicho la tatu linijaze ufahamu....

 • Aliyekuonjesha kaweke kambi kwake.....

 • Eti kuku wa kuchora....hawiki, hatagi yai wala hadonoi.....
 • Unaacha nyama nyumbani unaenda kula mishikaki baa....

 • Umezoea cheko la nyundo hebu tupe la msumari sie nginjha nginjha....

 • Uko busy airport unasubiri meli na hata passport hujabeba.......

 • Umeumbwa u-kanga unataka u-kuku.....

 • Uko busy kama unapiga deki bahari.....

 • Japo chungu we meza tu......

 • Donda la maskini hupona kwa umande.....
 • Kobe hufika aendako hata akienda taratibu......

 • Usijifanye unachagua wakati bado unachaguliwa......

 • Hata tausi mrembo lakini haliwi nyama....

 • Mbwa mzee hafundishwi sheria mpya.....

 • Ingekuwa rahisi hata samaki angetafuta perfume......

 • Aaahhh papai kubwa ka-apple kadogoo...bei ya apple sasa, papai halina maana....

 • Uniniletea perege mie, hicho kidagaa....niletee yule papa ndio saizi yangu

 • Hukushiba kwa tonge, utashiba kwa kulamba....

 • Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa......

 • Madogo madogo yakupite na makubwa yakusakame....

 • Huwezi kuwa mkwezi ukashindwa kusuka pakacha......

 • Mchele kisoda, nazi sita.....

 • Usipaki fuso kwenye gereji ya bajaji...

 • Usipite kimyakimya uliza njia usije ukajigonga buree...

 • Muwasho wa ulimi, haukunwi na kidole....

 • Kama bahari.....ukiweka lindo kaskazini wenzio kusini wanavua....

 • Mzoea punda, hapandi farasi.....
 • Bora kandambili kuliko mdundo mbovu....

 • Unavua samaki kwa mikono, utamaliza kesho.....
 • Ukibipu tu, mi nakupigia.....

 • Una maswali mengi, kwani we ni polisi.....

 • Unaniongelesha kizungu, umenisomesha wewe......
 • Mchuma janga, hula na wa kwao.....

 • Zege halilali.....

 • Ukimjua adui yako unamshinda kirahisi.....
 • Unapanda basi la bagamoyo wakati unaenda ikwiriri.......

 • Uko kama majani ya chai, hujulikani kama dawa ya ngiri au ya kichwa.......

 • Ameshakuwa kuku wa kwenye jokofu, kapoteza radha..........

 • Usione vinaelea, vina maboya............

 • Majukumu yakikukabili, akili inakaa sawa...........Karibuni uwanja mpya wa misemo na misamiati ya Kiswahili lengo
likiwa ni kutufanya kutafakari lisemwalo na picha mbalimbali huku tukilinganisha na maisha yetu ya kila siku...... • Unamkimbiza mwizi kimya kimya, unataka kumuua.......!

7 comments:

Post a Comment