Social Icons

Thursday 30 April 2015

MTOTO WA KIKE




 


Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa:

Nazo ni:
1. Sare ya shule
2. Joho la Graduation
3. Gauni la Harusi
4. Maternity dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo kama ukiruka ya kwanza hutapata nafasi ya kuvaa ya pili.

 


Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu

0 comments:

Post a Comment