Social Icons

Saturday, 26 April 2014

HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO TANZANIA...





 




Mungu Ibariki Tanzania
 
Mungu wabariki viongozi wake
 
Heshima, Umoja na Amani udumishwe
 
Mungu libariki Bunge la Katiba na wajumbe wake
 
Mungu wabariki Watanzania (Watanganyika na Wazanzibari)
 
 
 


0 comments:

Post a Comment