Social Icons

Friday, 1 November 2013

YOUTH NIGHT VIGIL (MKESHA) IN PURSUIT OF PURPOSE (KULITAFUTA KUSUDI)....








 
 
Je unalijua kusudi la Mungu maishani mwako?
 
Unajua njia gani uifuate ufikie malengo yako duniani?
 
 
Utakapoulizwa kuhusu talanta yako na muumba je utakuwa umeizidisha na kumrudishia faida au utamrudishia ile ile aliyokupa kama ilivyo? 
 
 Rejea  '' Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida. Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukia chini, akaificha fedha ya bwana wake - Mathayo  25: 16 - 18"
 
 
Karibu kwenye mkesha huu wa kutambua kusudi la Mungu kwa maisha yako.
 
Wapi: St Columbus (Opposite Palm Beach Hotel) - Palm Beach, Upanga

 
Lini: 08/ 11/ 2013 Saa 3:00 Usiku hadi 12:00 Asubuhi
 
Kiingilio: BURE, vinywaji na vitafunwa kutolewa
 
 
Watoa mada (Speakers):
 
1. Luphurise Lema- Mawere --Marriage, Are You Ready
 
2. Geofrey Thobias --Kutambua Kusudi Lako
 
3. Godwin Gondwe --Challenge of New Technology
 
4.James Mwang`amba --Catch Your Dream

Kutakuwa na waburudishaji mbalimbali kama MC Pilipili, Clown Chavala, Conrad & Clay, God's Generation, The Doxas kutoka World Alive watatuongoza katika kusifu na kuabudu Mungu wetu.

 

0 comments:

Post a Comment