Social Icons

Friday, 29 March 2013

JENGO LAANGUKA DAR......


 
Kikosi Cha Uokoaji Kimeaasili Kikiwa Na Idadi Ndogo Sana Ya Hao Waokoaji Kwa Kweli,Inasikitisha.Ambulance Za Hospitali Za Serikalo Hakuna 1 Liliweza Kufika Mpk Sasa,Zaidi Ya Ambulance Za Hospital Za Madhehebu Ya SHIA Na ISMAILIA Pekee Ndio Zinaonekana Hapa,Na La ISMAILIA Likiendeshwa Na Mr.Farhad Wa WANANCHI STORE.


HOTMIX (11:00 Jioni): Heri ya Ijumaa Kuu! Kali miongoni mwa zilizojiri leo ni pamoja na:

Jengo la takribani ghorofa 16 laanguka leo na kusababisha majeruhi kadhaa, maafisa watatu washikiriwa akiwemo Mhandisi wa Manispaa wa Ilala... Je, unazungumziaje tukio hili lililoshtua wengi? 

Kwa hayo na mengine mengi, huu ndio muda wa kujiunga na HotMix --->> COMMENT SASA!
 
  • Ni la ghorofa zaidi ya 12
  • Liko makutano ya mtaa wa Indira Gandhi na Barabara ya Morogoro
  • Watu wapoteza maisha na wengi wajeruhiwa


0 comments:

Post a Comment