Social Icons

Monday, 25 March 2013

ATHARI ZA MAFURIKO DAR ES SALAAM.....


 
 
 
Wananchi wakisaidiana kuvuta gari linalopelekwa na maji
 
 
 
 
Hali halisi ni kama uonavyo pichani
 
 
 
 
Eneo la Tabata Relini kutokana na athari za mvua zilizonyesha jana, wataalamu wa hali ya hewa wametabiri hizi mvua ndio zimeanza hivyo.
 
 
Picha kwa hisani ya : Mwananchi Communication Limited

0 comments:

Post a Comment