Social Icons

Friday, 1 June 2012

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA 3......Itakuwa jumamosi ya tarehe 9 June 2012 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa moja jioni.Hapa ndio pale tunapokutana kina dada/mama kuzungumza changamoto za kila siku katika mahusiano,ndoa,na familia kwa ujumla........

Watoa mada mbalimbali watakuwepo kama Mama Victor, Harris Kapiga, Aunty Sadaka na wengineo wengi.........KARIBUNI.......

0 comments:

Post a Comment