
Wapendwa nimepata maswali mengi kuhusu msusi ninayemtumia anasuka kuanzia 25,000 na zaidi kulingana na size uitakayo ukitaka kumtumia yeye tuwasiliane
Note:
- Ukitumia msusi wako mwambie azichambue vizuri tokea ndani kwenda nje
- Kuna nywele feki za aina hii na matokeo yake si kama hayo pichani huwa ni ngumu na hazina mawimbi kama hayo pia hazina mng'aro wa muda mrefu.
0 comments:
Post a Comment