Social Icons

Thursday 31 May 2012

AKUPENDAYE KWA DHATI.........

Akupendaye Kwa Dhati Hujiuliza Maswali Haya:
1. Je, Unaujua Upendo Wake Wa Dhati Kwako?
2. Je, Unampenda Kama Yeye Anavyokupenda?
3. Je, Mapenzi Anayokupa Unaridhika Nayo?
4. Ni Kweli Yupo Peke Yake?
5. Ni Kweli Penzi Lenu Litadumu?
6. Je, Unampenda Kwa Sababu Gani?
 

Haya Maswali Huwa Moyoni Mwa Mtu, Mara Nyingi Mtu Hawezi Kuzungumza Mapema Na Hubaki Kuwa Siri Yake.

Ukitaka Kujua Na Kufahamu Mengi Zaidi (Ushauri Kimaisha/Biashara/Mapenzi Na Saikolojia Inayogusa kila sehemu ya tatizo katika maisha ya kila siku ya Binadamu Toka Kwa TheDon (Doctor) tembelea hapo juu kwenye link ya DR LOVE.....THE DON
 

0 comments:

Post a Comment