Social Icons

Friday 24 February 2012

FRENEMY.....



How else would you describe a friend that acts like your enemy? Shosti wako 'anayekula kisogo chako' asiyependa ufanikiwe na anayesambaza habari zako zote kwa wengine?


Someone who you think you can trust, but you really can’t? Someone who makes you feel worse while she pretends she’s trying to make you feel better? This person is not your friend. But she’s not exactly your enemy either.Anakujua ndani na nje hasa pale mnaposhare habari zenu za ndani ukidhani unamwambia rafiki yako kipenzi.



Hapendi kukuona ukiwa na furaha na ukiwa na huzuni atajifanya kusikitika na wewe huku rohoni anafurahia masaibu yako.

She’s your frenemy.But how can you be sure of that? How do you know that it’s not all in your head? That this person is really doing all the things you think she’s doing?

  • Ukiachwa au ukiachana na jamaa yako anafurahi kimoyomoyo
  • Never almost never compliments you in your achievements ana neno la kasoro la kusema siku zote hata kama anajua jitihada zako za kufikia malengo yako
  • Akiona umefikia malengo yako labda kielimu, kijamii au kimahusiano ananuna bila sababu au anajifanya yuko busy na mambo yake mradi asishiriki na wewe katika furaha yako ila mpigie simu mwambie una tatizo unahitaji wa kuongea naye 'she is there in an instant!

 Is she really the massive 'bitch' you’ve made her out to be? Maybe you’re just over thinking this. Maybe she’s really not that bad. Is she?

Yes, she really, really is. If you’re thinking it, it’s probably true......keep your friends close and your enemies/frenemies closer.........FOOD FOR THOUGHT!

0 comments:

Post a Comment