Social Icons

Tuesday, 10 January 2012

Traffic Queues......Foleni....

Tumerudi tena.....foleni Dar es salaam

Juzi tu ilikuwa ni rahisi kutoka sehemu moja kwenda nyingine jijini.
Rahisi hata kumwambia mtu tutaonana baada ya dakika kumi au nusu saa......siku chache baadaye hasa baada ya msimu wa sikukuu kutoka katikati ya mji mpaka kona nyingine ya mji ni lazima uondoke mapema, uwe tayari kukaa kwenye foleni na uwe na uvumilivu wa kutosha.

Hali hii mpaka lini.......Food for thought!

1 comments: