Hakutaka dereva alijipeleka mwenyewe saloon na kujileta ukumbini....hapana chezea digitali....
Mwenyekiti nikikamilisha protocal za mwisho na Anne
Akiingia ukumbini kwa bashasha
Akiingia na wimbo wa Hapa nilipo mimi ni kwa neema ya Mungu, mashallah alinesa na kuimba kwa furaha ni kweli ni kwa neema ya Mungu tu kufikia siku hii
Akicheza na waalikwa kukaribisha rasmi wageni tayari kuanza sherehe yetu
Nani kama mama, biharusi akiweka pozi na mama Bugeraha
Kwa picha zaidi zipo chini