Social Icons

Thursday, 8 August 2013

NAWATAKIA NANE NANE NJEMA......






 
 
Sherehe za Nane nane zinazofanyika Agosti 8 kila mwaka huambatana na maonyesho ya bidhaa za kilimo yanayofanywa na wakulima na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo, lengo likiwa ni kujitangaza shughuli zao, kubadilishana uzoefu na wataalamu wa kilimo.

Pia wakulima wadogo ambao ni wengi ukilinganisha na wakulima wakubwa watajifunza mbinu mpya za kitaalamu za kilimo zinazoendana na wakati tulionao sasa kwa maana ya mabadiliko ya kiteknolojia na tabia nchi ili wakulima waweze kulima kilimo cha kisasa na kunufaika kiuchumi. 
 
KAULI MBIU YA NANE NANE 2013: ZALISHA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO KWA KULENGA MAHITAJI YA SOKO

0 comments:

Post a Comment