Social Icons

Friday, 12 October 2012

MEN'S CORNER: HOW TO GET A WOMAN OF YOUR DREAMS TO LOVE YOU....



getting engaged Stock Photo - 7221807
 
Umekutana na mwanamke umespend time naye na amekuvutia sana na unatamani uwe zaidi na yeye. Unajisikia una amani ukiwa karibu yake na bila kujua unafall in love na yeye, unaanza kumjali ameamkaje, ameshindaje na anaendeleaje na shughuli zake za kila siku. Unaanza jiuliza maswali mengi je yeye anajisikiaje kuhusu wewe, ana mpango gani na wewe, huna uhakika hata kama unafanya yampendezayo. How can you get her to fall in love with you? See you as more than a friend and move you off the friends' zone.......tuungane pamoja from a woman point of view na kujifunza jinsi ya kumfanya akupende na apagawe na mapenzi yake kwako. Hata kwenye maandiko imeandikwa ' Apataye mke mwema amepata jambo bora na baraka za Mungu'. Je wajua kuna wanawake wasiotakiwa kupita maishani mwako na wakipita kwa namna moja au nyingine ni vilio vya kusaga meno na majuto tu.........utajutaaaaa........
 
 
Young ethnic couple on kitchen sorting groceries Stock Photo - 9191623

 
 

Learn the tips hapa MEN'S CORNER.....http://mwanadada.blogspot.com/p/mens-corner.html

0 comments:

Post a Comment