Social Icons

Saturday, 13 October 2012

BREAKING NEWS - RPC MWANZA AUAWA.

 
 
Aliyekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow
 
                     
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa katika tukio linalohusishwa na ujambazi usiku wa kuamkia leo jumamosi tarehe 13 October 2012

Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na waliohusika watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria
 

0 comments:

Post a Comment