Social Icons

Thursday, 5 December 2013

MWANAMKE CHUMBANI....








<br>
 
 
Bishosti ushalipia hela yako? Unangoja nini fanya uje ujumuike na wenzio kujua ya undani
 
Wasiliana na Rosemary Mizizi - 0717 019320 ujipatie dera lako la kujimwayamwaya siku ya siku usichelewe ni Jumatatu hii tarehe 9/12/2013 paleeee Majestic Hall Sinza Kwa Remmy kwa kiingilio cha 35,000/- tu unapata dera lako ambalo ni sare, chakula na vinywaji
 
Si ya kukosa hii.....Mwanamke Chumbani bibi, jikoni unamalizia mambo......


0 comments:

Post a Comment