Social Icons

Tuesday, 27 August 2013

ANNA BUGERAHA KITCHENPARTY 25/08/2013.....








Hakutaka dereva alijipeleka mwenyewe saloon na kujileta ukumbini....hapana chezea digitali....



Mwenyekiti nikikamilisha protocal za mwisho na Anne





Akiingia ukumbini kwa bashasha 





Akiingia na wimbo wa Hapa nilipo mimi ni kwa neema ya Mungu, mashallah alinesa na kuimba kwa furaha ni kweli ni kwa neema ya Mungu tu kufikia siku hii






Akicheza na waalikwa kukaribisha rasmi wageni tayari kuanza sherehe yetu






Nani kama mama, biharusi akiweka pozi na mama Bugeraha

Kwa picha zaidi zipo chini







Akifurahia zawadi zake 
















Mwenyekiti wa kamati Mama Lembo akifafanua matumizi ya bisibisi na tester ya umeme  kwa mama mwenye nyumba( mashikolo mageni haya). Tuliambiwa tester kazi yake ni kuangalia je kuna source ya umeme pale kifaa kinapogoma kufanya kazi na bisibisi kazi yake kukaza mishikio ya sufuria na vikaangio haihusu mwanamke kuwa na sufuria mishikio imekatia au inaning'inia unashikilia na makaratasi.....mpooooo?



Waalikwa wakiinua machujio yao juu kukubaliana na mtoa mada kuwa kama chujio lilivyo  tuchuje mazuri na mabaya kabla ya kusema neno 







Anne akiwa mwenye furaha na bashasha



Keki ilikuwa tamu mnoooo




Anne akimshukuru shostito Monica wa www.modernoutfit.blogspot.com kwa kuwa rafiki wa kweli na ndugu kwake.....aaaaawww Monica was blushing....



Managing Director wa Tanzania Women Bank, Mama Magreth Chacha akitoa usia kwa bi harusi wetu mtarajiwa ambaye pia ni mfanyakazi wa TWB



Akisikiliza kwa makini mawaidha ya boss ambayo yaliusia mambo ya fweza na kujishughulisha na ujasiriamali kwa msemo wa MD hata uwe na kila kitu kama mwanamke akili haichaji kutafuta pesa na kujishughulisha ni sawa na kazi bure, utakuwa mzigo tu kwa mumeo


Kikundi hiki cha wanadada kilitutumbuiza na wimbo wao mpya....mnawakumbuka hawa? Tuliosoma Jangwani tunawakumbuka warembo hawa?




Emmy wa Wanadada Group



Nikiwa  na mama BV - Wanadada Group





Mamaa BV anauza peruvian hair za ukwee kama hizo  niulize utazipataje 



My childhood friend, mapenzi tele kwako Happy Fussi




Watu wakiserebuka





Anne akiaga wageni waalikwa 



Nikihakikisha bi harusi wangu anatoka salama kwenda kupumzika


Ney wa Wanadad Group katika pozi pale nyuma





















3 comments:

  1. Nimeipenda sana hii orange na maua yaani yalikuwa mazuri. Orange huwa haitumiki sana ila ni rangi nzuri sana haswa ikivaliwa kama ilivyovaliwa kwenye hii sherehe.

    ReplyDelete
  2. Nimeipenda sana hii orange na maua yaani yalikuwa mazuri. Orange huwa haitumiki sana ila ni rangi nzuri sana haswa ikivaliwa kama ilivyovaliwa kwenye hii sherehe.

    ReplyDelete
  3. yes ilikuwa rangi nzuri mno watu walipendeza mnoooo...

    ReplyDelete