Hakutaka dereva alijipeleka mwenyewe saloon na kujileta ukumbini....hapana chezea digitali....
Mwenyekiti nikikamilisha protocal za mwisho na Anne
Akiingia ukumbini kwa bashasha
Akiingia na wimbo wa Hapa nilipo mimi ni kwa neema ya Mungu, mashallah alinesa na kuimba kwa furaha ni kweli ni kwa neema ya Mungu tu kufikia siku hii
Akicheza na waalikwa kukaribisha rasmi wageni tayari kuanza sherehe yetu
Nani kama mama, biharusi akiweka pozi na mama Bugeraha
Kwa picha zaidi zipo chini
Akifurahia zawadi zake
Mwenyekiti wa kamati Mama Lembo akifafanua matumizi ya bisibisi na tester ya umeme kwa mama mwenye nyumba( mashikolo mageni haya). Tuliambiwa tester kazi yake ni kuangalia je kuna source ya umeme pale kifaa kinapogoma kufanya kazi na bisibisi kazi yake kukaza mishikio ya sufuria na vikaangio haihusu mwanamke kuwa na sufuria mishikio imekatia au inaning'inia unashikilia na makaratasi.....mpooooo?
Waalikwa wakiinua machujio yao juu kukubaliana na mtoa mada kuwa kama chujio lilivyo tuchuje mazuri na mabaya kabla ya kusema neno
Anne akiwa mwenye furaha na bashasha
Keki ilikuwa tamu mnoooo
Anne akimshukuru shostito Monica wa www.modernoutfit.blogspot.com kwa kuwa rafiki wa kweli na ndugu kwake.....aaaaawww Monica was blushing....
Managing Director wa Tanzania Women Bank, Mama Magreth Chacha akitoa usia kwa bi harusi wetu mtarajiwa ambaye pia ni mfanyakazi wa TWB
Akisikiliza kwa makini mawaidha ya boss ambayo yaliusia mambo ya fweza na kujishughulisha na ujasiriamali kwa msemo wa MD hata uwe na kila kitu kama mwanamke akili haichaji kutafuta pesa na kujishughulisha ni sawa na kazi bure, utakuwa mzigo tu kwa mumeo
Kikundi hiki cha wanadada kilitutumbuiza na wimbo wao mpya....mnawakumbuka hawa? Tuliosoma Jangwani tunawakumbuka warembo hawa?
Emmy wa Wanadada Group
Nikiwa na mama BV - Wanadada Group
Mamaa BV anauza peruvian hair za ukwee kama hizo niulize utazipataje
My childhood friend, mapenzi tele kwako Happy Fussi
Watu wakiserebuka
Anne akiaga wageni waalikwa
Nikihakikisha bi harusi wangu anatoka salama kwenda kupumzika
Ney wa Wanadad Group katika pozi pale nyuma
Nimeipenda sana hii orange na maua yaani yalikuwa mazuri. Orange huwa haitumiki sana ila ni rangi nzuri sana haswa ikivaliwa kama ilivyovaliwa kwenye hii sherehe.
ReplyDeleteNimeipenda sana hii orange na maua yaani yalikuwa mazuri. Orange huwa haitumiki sana ila ni rangi nzuri sana haswa ikivaliwa kama ilivyovaliwa kwenye hii sherehe.
ReplyDeleteyes ilikuwa rangi nzuri mno watu walipendeza mnoooo...
ReplyDelete