
Leo ni siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Fredy Anthony Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group ambao ni wamiliki wa Mtandao wa Mbeya yetu pamoja na mitandao Mengine Tone Radio-Tz , Blogs za Mikoa Tanzania ,This day Magazine , Tanzania Tour Information Centre , Tone Tube , Mtandao wa wanafunzi Tanzania(Matukio na wanavyuo) , Pamoja na mtandao wa watanzania waishio nje ya Nchi .
Mwanadada inashukuru sana kwa mchango ambao Tone Media Group imeuonyesha katika kublogua. Mwanadada blog inatengenezwa na kurekebishiwa mitambo na Tone Media Group.
Mungu akujaalie haja ya moyo wako Fredy na akubariki siku zote na aibariki kazi ya mikono yako.
0 comments:
Post a Comment