Social Icons

Friday, 22 February 2013

EVERYTHING WILL BE ALRIGHT....


 
Benitta
 
 
 
This is dedicated to all form four students of 2012  ambao matokeo yao hayakuwa mazuri sana kulingana na viwango vilivyowekwa . Tafadhali usifikirie kufanya jambo lolote la kuhatarisha maisha yako haya ni mapito tu ya dunia hili nalo litapita 'Hata usiku uwe mrefu kivipi lazima jua litachomoza ikifika alfajiri' .....It shall be well
 
Wazazi na walezi wa wanafunzi hawa huu ni muda muafaka wa kuwa karibu nao na kuwapa moyo ndio inaumiza na mimi kama mlezi najua inavyokatisha tamaa lakini tukiwa karibu zaidi na hawa vijana na kuwapa moyo na tujaribu wote kuangalia upande wa pili wa shilingi wa nini kifanyike sasa matokeo yameshatoka na kama wahenga wasemavyo ' Maji yakimwagika hayazoleki'.......


0 comments:

Post a Comment