Social Icons

Monday, 14 April 2014

KAZA MOYO - MSONDO NGOMA





 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

In memory of Maalim Muhidini Maalimu Gurumo who passed away yesterday, 13th April 2014


Amekuwa katika medani ya muziki wa dansi kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1950 rasmi mwaka 1960 na akiwa moja ya wanamuziki waanzilishi wa Nuta jazz band 1964, kabla ya kubadili jina na kuitwa JUWATA JAZZ ikiwa chini ya chama cha wafanyakazi.

Gurumo ni mwanamziki mtunzi,mwimbaji mkongwe na mbunifu wa mtindo mbali ya dansi kama vile Msondo Ngoma, Sikinde Ngoma ya Ukae (alipokuwa Mlimani Park) na Ndekule (alipohamia kwa muda Orchestra Safari Sound wana OSS)


May his soul rest in peace, tumepoteza nguli wa muziki wa dansi Tanzania


0 comments:

Post a Comment