Social Icons

Tuesday, 30 July 2013

TODAY'S TUNE: MAJARIBU NI MTAJI BY AMBWENE MWASONGWE.....



Duniani twapita.....majaribu yoyote unayoyapitia yana mwisho wake, hakuna marefu yasiyo na ncha.

Hata kama usiku unazidi kuwa mkubwa na uchungu umezidi lazima alfajiri itafika na jua litachomoza tu....usikate tamaa ni sehemu ya maisha tu...

0 comments:

Post a Comment