Social Icons

Tuesday, 16 April 2013

POZI LA PICHA......


 
Umetoka kwenda town kwenye mishemishe zako umemuachia dada wa kazi maagizo afanya usafi vitu vyako vyote chumbani. Unarudi unakuta kazi hii hapa.
 
 
Unarudi unakuta hali halisi kama hiyo vitu vimeanikwa.....

0 comments:

Post a Comment