
Familia ya Kanumba inawakaribisha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha marehemu Kanumba itakayofanyika Leaders Club siku ya jumapili hii tarehe 7/4/2013 kuanzia saa 8 mchana.Kutakuwa na uzinduzi wa muvi ya mwisho kufanywa na marehemu. Pia itaoneshwa kwa mara ya kwanza preview ya movie iitwayo After death(Never happened before) iliyoandaliwa na Jackline Wolper kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba.
Kutasindikizwa na Twanga Pepeta na wachekeshaji maarufu Tanzania.
KIINGILIO NI BURE. MSIKOSE TUMUENZI NDUGU YETU.

0 comments:
Post a Comment