Umeshakata tiketi yako kusherehekea na wanawake wanaojitambua na wapenda maendeleo?
Usisubiri sana sababu hakuna tiketi za mlangoni kila kitu ni pre-booked 'ndio habari ya mujini' Fanya mambo upate tiketi yako mapemaaaaa kwa habari zaidi tembelea: www.8020fashions.blogspot.com
Usisahau kivazi chako cha kitenge au kanga ukitupiamo kiatu chako matata na accessories za maana njoo tunywe, tucheze na tufurahi wote.
Tukutane Diamond Jubilee tarehe 3/03/2013 kuanzia saa tano kamili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni (Tafadhali zingatia muda, mwanamke wa kweli anazingatia muda)
0 comments:
Post a Comment