Social Icons

Sunday, 3 March 2013

2013: WOMEN CELEBRATION......


 
 
 
Dadaz na mamaz ile siku imewadia......tukutane baadaye Diamond Jubilee kusherehekea siku ya mwanamke duniani. Shosti kwani we ni fanicha mpaka usijumuike na wenzio hebu jipe raha mwenyewe.......wahenga walisema 'Mtembea bure si sawa na mkaa bure'..........
 
 
Can't wait to see you all laters......mtalipukajeeee.......

0 comments:

Post a Comment