Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dr. Shukuru Kawambwa ametangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne, Maarifa na QT
Kwa kuangalia matokeo hayo nenda: www.necta.go.tz
Itabidi uwe na namba ya shule na ya mtihani ya mwanafunzi.
Matokeo yanaweza kupatikana pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika:
MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA
(Mfano : matokeoxS0101x0503)
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2LK3T61gE
Matokeo yanaweza kupatikana pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika:
MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA
(Mfano : matokeoxS0101x0503)
SHULE ISHIRINI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI
Ubora wa ufaulu wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha “Grade Point Average” (GPA) kuanzia A = 1 hadi F = 5. Shule zenye watahiniwa 40 na zaidi ziko 3,391. Shule ya kwanza hadi ya ishirini zimeainishwa kwenye Jedwali lifuatalo :

NAFASI | JINA LA SHULE | IDADI YA WATAHINIWA | MKOA |
1 | ST. FRANCIS GIRLS | 90 | MBEYA |
2 | MARIAN BOYS S.S | 75 | PWANI |
3 | FEZA BOYS S.S | 69 | DAR ES SALAAM |
4 | MARIAN GIRLS S.S | 88 | PWANI |
5 | ROSMINI S S | 78 | TANGA |
6 | CANOSSA S.S | 66 | DAR ES SALAAM |
7 | JUDE MOSHONO S S | 51 | ARUSHA |
8 | ST. MARY’S MAZINDE JUU | 83 | TANGA |
9 | ANWARITE GIRLS S S | 49 | KILIMANJARO |
10 | KIFUNGILO GIRLS S S | 86 | TANGA |
11 | FEZA GIRLS | 49 | DAR ES SALAAM |
12 | KANDOTO SAYANSI GIRLS SS | 124 | KILIMANJARO |
13 | DON BOSCO SEMINARY SS | 43 | IRINGA |
14 | ST.JOSEPH MILLENIUM | 133 | DAR ES SALAAM |
15 | ST.JOSEPH’S ITERAMBOGO SS | 64 | KIGOMA |
16 | ST.JAMES SEMINARY SS | 44 | KILIMANJARO |
17 | MZUMBE SS | 104 | MOROGORO |
18 | KIBAHA SS | 108 | PWANI |
19 | NYEGEZI SEMINARY SS | 68 | MWANZA |
20 | TENGERU BOYS SS | 76 | ARUSHA |
7.0 SHULE KUMI AMBAZO HAZIKUFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI
NAFASI | JINA LA SHULE | IDADI YA WATAHINIWA | MKOA |
1 | MIBUYUNI S.S | 40 | LINDI |
2 | NDAME S.S | 41 | UNGUJA |
3 | MAMNDIMKONGO S.S | 63 | PWANI |
4 | CHITEKETE S.S | 57 | MTWARA |
5 | MAENDELEO S.S | 103 | DAR ES SALAAM |
6 | KWAMNDOLWA S.S | 89 | TANGA |
7 | UNGULU S.S | 62 | MOROGORO |
8 | KIKALE S.S | 60 | PWANI |
9 | NKUMBA S.S | 152 | TANGA |
10 | TONGONI S.S | 56 | TANGA |
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2LK3T61gE
0 comments:
Post a Comment