Social Icons

Thursday, 24 January 2013

UTANIBEBA LEO....


 
we chezea wanawake  a town hususan r chuga
 
 
Vitendo vya ukatili si kwa wanawake na watoto tu hata wanaume ni wahanga wa mambo haya.....
 
 
Najaribu kujiuliza jamaa alifanya nini mpaka akakunjwa hivyo........alifumaniwa? hakuacha hela ya matumizi? Au ni ubabe tu wa mwanamama?

0 comments:

Post a Comment