Social Icons

Thursday 3 January 2013

HOT TOPIC:SHOE-HOLICS......


 
 
 
 
Swali kwa wadada:
 
Hivi kwanini tunakuwa na viatu vingi kiasi hiki?
Mpaka tunakosa sehemu ya kuviweka..........mimi mwenyewe ni mhusika mkuu katika hili...... ila huwa najiuliza kwa nini tuna viatu vingi kiasi hiki? Wanaume je? nini mawazo yenu katika hili? Wengi nilioongea nao wanakwazika mno na hili. Lakini bado tunanunua viatu kila kukicha. Karibuni tujadili......

13 comments:

  1. My dia nahisi ni kufanya kitu kinachosuuza roho, afu mi Nina Tabia nkishanunua, nikifika home, ntakivaa tena,ntazunguka nacho Huko ndani, na kujaribisha na nguo kibao

    ReplyDelete
  2. hahhahha Loveness.....mi pia nafanya sana hivyooo hata kinibane vipi nikikipenda it goes home with me, period! Huwa naamini kitatanuka tu muda ukipita ......

    ReplyDelete
  3. Duh, Mshahara wote hapa unaishia

    ReplyDelete
  4. jamani,iyo nimifuko mingapi ya cement????????????

    ReplyDelete
  5. yaani sio mifukko mingapi ya cement hapa yaani unasimamisha nyumba kabisa na finishing unakuwa umeweka kwenye vyumba viwili lol

    ReplyDelete
  6. Hahahhaa hatumii pesa yako ana maendeleo yake ana miradi yake na kipato chake, anaweza akawa mkulima/mfanyabiashara/mfanyakazi mahiri....why not jamani...what about kiwango cha pombe u guys consume tukipanga zile chupa zote za konyagi na beer je?

    ReplyDelete
  7. aya ata kama anatumia ela yake,is not economical,tukija kwenye vitu muhimu ada mimi,ujenzi mimi,chakula mimi,maladhi mimi.alafu wanawake mkiambiwaga mchangie kitu mnanuna kweli!izo pombe unazosema aya chupa ya konyagi aizidi 10000,alafu uwezi maliza ile ngumu kumeza,bia sh.2000,ukinywa nyingi labda 6,nyie sasa kiatu kimoja sh.45000,aya kwa wiki unavaa pea ngapi???alafu kila kikitoka kipya unacho,uko ladhi ata ukope lakini ukipate.mwanaume anaweza vaa kiatu ichoicho kwa mwezi mzima.bado hatujaja kwenye mavazi,manukato mtafikili mna duka la cosmetics.njoo saloon,si chini ya sh.50000 ndio ukae mkao unaoutaka.

    ReplyDelete
  8. Halafu gharama zote hizo inaweza fika laki 6 au 7,mshahara wako laki 4 au 3 take home,izo zingine unatoa wapi??????

    ReplyDelete
  9. Only a shoeholic will understand this....

    ReplyDelete
  10. Sawa sikatai je wale ambao kipato kidogo lakini anavyopendeza ni hatari,zinatoka wapi hizo za ziada??????unajua makahaba wengi wako maofisini siku izi???

    ReplyDelete
  11. Kazi Kwangu mie ambae ni nguoholic na 80 % shoeholic, yani naelewa utamu wake,Ukiona kipya hupati usingz unakiwaza tu

    ReplyDelete
  12. Afu iyo picha haijainclude visimple, maana vina utamu wake pia

    ReplyDelete
  13. Halafu wengi wanaazimaga viatu maana motion inabadilika mpaka anaharibu mbaya,kisicho chako bwana sio chako tu.

    ReplyDelete