Social Icons

Wednesday 2 January 2013

R.I.P JUMA KILOWOKO (SAJUKI).....


 
pigo lingne jaman jaman bongo move vipi kulikoni jaman
 
 
 
 
Msanii maarufu wa Filamu hapa nchini Juma Kilowoko (Sajuki) amefariki dunia leo Alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili.
 
Mungu akupe nguvu Wastara ni pigo kubwa mno.....I feel your pain.....
 
Rest in peace Sajuki, tuko wote kwenye njia moja....Mungu kakupenda zaidi....
 


0 comments:

Post a Comment