Social Icons

Saturday 5 January 2013

JANUARY NA KUCHACHA......

 
 
When January becomes a nightmare......
Does january always finds you with empty pockets? You Keep on being caught off guard?

Hata ufanye mipangilio vipi bado unakuwa umechacha mnooo....na mambo ni yale yale mwaka hadi mwaka.

Nini kinasababisha hali hii?

- Jinsi tunavyotumia hela wakati wa kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka? Christmas na mwaka mpya?
- Malipo mbalimbali ambayo yanafanyika kipindi hiki kama vile ada za shule, za uanachama na kadhalika?
- Mipango inakuwa mingi isiyoendana na hali halisi ya kimaisha?
- Kushindwa kutimiza mipango tuliyojiwekea (new year resolutions) kwa hiyo tunarudia tabia zile zile za mwaka jana kwa matumizi ya pesa zetu?

Kupanga ni kuchagua......tuchague kufanya tofauti January hii na nyingine zinazokuja

Maisha yako, chaguo lako......

0 comments:

Post a Comment