Social Icons

Friday 4 January 2013

HOT TOPIC: MTOKO KWA WADADA.....


 
Man and women having fun in a restaurant Stock Photo - 8149121
 
 
 
Swali kwa wadada:
 
Unaweza kumwalika mdada kwa one drink or two mahali pazuri patulivu ili muweze kufahamiana kwa ukaribu zaidi,halafu yeye anakuja na rafiki zake wawili wanakuwa watatu. Hajui bajeti ya mwanaume,  ye ili mradi kaniona nina gari,kazi nzuri basi anajua zipo.Hiyo mnaichukuliaje??? Halafu sasa siku hiyo hanywi kinywaji anachokunywaga ktk maisha yake ya kila siku,utasikia nakunywa savana au jd. Wanaume wanauliza kwanini filmeee ziko nyingi?
 
 
Tujadili.......

1 comments:

  1. jaman hili ni tatizo ila wadada tunapenda starehe na makidai ili uonekane una bwana mwenye pesa na kuwaringishia wengine ila to be honest ni tabia mbaya mnooo na haileti picha nzuri hasa kama jamaa alikuwa ana plans na wewe anaweza akaghairi kwa kujionyesha kwako. hebu tuwe wastaarabu haya mambo ya kuchuna mabuzi ya kizamani mnoooo mwanamke kuhangaika nowdays

    ReplyDelete