Social Icons

Wednesday, 23 January 2013

HII NDIO YANGA....


 

Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Yanga leo wanashuka uwanja wa CCM Kirumba kukipiga na Black Leopard ya Afrika Kusini. Wanajangwani wanaodhaminiwa na @[157848754341418:274:Kilimanjaro Premium Lager] wameamua kuwasogezea burudani mashabiki wao wa kanda ya ziwa watakaopata nafasi ya kukiona kikosi kilichotoka nchini Uturuki katika mazoezi hivi karibuni. Tunawatakia kila la heri Yanga.
 
Jumatano hii ndani ya uwanja wa Kirumba, Mwanza wakipambana na Black Leopards ya South Africa katika mechi ya marudiano baada ya kumsambaratisha kwa 3 - 2 jijini
Dar es salaam.............Hii ndio YANGA........

0 comments:

Post a Comment