Amekuudhi......mwambie ukweli sio kumpa attitudes na cold shoulder, tunawaonea wenza wetu muda mwingine sababu hawezi kusoma mawazo yako labda umwambie linalokutatiza.
Wengi wanapenda mpira hasa English Premier League usimkwaze mwenzio ni bora ukamwacha aende akaangalie na wenzie 'pub' kuliko kuongozana naye halafu ununeee na uko kwenye BBM na Facebook kutwa inabidi akuulize kila dakika 'baby, are you ok?' unamrushia stimu ya mpira mwishowe hata-enjoy.
Don't flirt unnecessarily hasa akiwa karibu na wewe hata kama 'it doesn't mean anything'
Don't make him meet your parents or close relatives......unless it is really really serious
When asked 'what's wrong?' usijibu 'nothing' halafu upige simu na kusms later tatizo lako
Men have fantasies, kama ambavyo women have them too, it doesn't mean hakupendi akikwambia some of them no matter how scary they are, these are just fantasies!
0 comments:
Post a Comment