Mwanamke na nyumba blog anawakaribisha.....tarehe 21/10/2012 kwenye kibao kata cha kukata na shoka ndio habari ya mujiniiii hiyoooo mashostiiii njoo wewe, wifi yako, shosti yako asiye na aibu bibi weeee. Mwanadada atakuwepo kama kawa.......
Habari zaidi hebu mcheki hapa Rosemary:
Hehe
heiya...unaambiwa ukishikwa shikamana upo hapo, haya sasa wanawake siku yenu
imefika jamani mapenzi ya siku hizi yamekuwa balaa sio ndani ya ndoa ama mapenzi
tu ya bila ndoa, unajua mwanaume wako anataka nini wewe, kuwa juu kama povu la
bia unaelewa??? haya sasa siku moja ya kufunda wadada wote maswala ya chumbani,
kuchuma tunda, kuhusu mwili wako kumpa raha mpenzio na kuufahamu mwili wake
zaidi ya kuuona tu, chachandu za kuchuma tunda, nini na maana ya uchomwaji udi
yote haya yatakuwepo siku hiyo..makungwi hatari watakuwepo hata ikibidi na kuvua
nguo kukuelewesha zaidi jamani kama unajijuwa mtoto usije, kama unaaibu iache
mlangoni..kungu nazo zitatawala kwa sana tukiwa tumejifungia kwenye chumba
hakuna wanaume, hakuna picha maana ni hekaheka za utu uzima..sehemu
itakayofanyika na mengine yote nitawataarifu mara kwa mara.. karibuni wadada
wote..
SHUGHULI
NI 21/10/2012 kaa mkao wa kula..
Vazi
la siku hiyo ni dira, mwanamke uvae ujimwaye mwaye maana rusha roho tu ndio
zitatawala..hehe heiya chezea supu ya mboga lazima uinywe..
Kiingilio
ni shs 30,000 utapata na dira (dira lako ambalo ndio sare yetu ndio ticket yako
hakuna ticket), kutakuwa na snacks, uji wa kungu, uji wa nazi,soda na maji kama
wewe ni mlevi beba ulevi wako uje kukupa raha..hehe heiya
Karibu
wewe, mwambie wifi yako, na shosti wako unaambiwa uzuri wa mwanamke
kujiamini..
Naomba
mtakaolipa mfanye hima kabla ya tarehe 19/10/2012 ili muwe na madira yenu,
malipo ya fanyike kwa tigo pesa 0717 019320, au unipigie tukutane na BBM Pin
yangu ni 23A0C2B4
Jamani
narudia tena kama wewe mtoto mdogo ya wakubwa haya hayakufai, na kama unaaibu
iache mlangoni pa nyumbani kwako..huku mlipuko tu
0 comments:
Post a Comment