Social Icons

Thursday, 4 October 2012

JE ULISOMA LOYOLA HIGH SCHOOL......?

Loyola Alumni/Alumnae Family & Friends Day 2012

Once again we welcome you to Loyola Alumni/Alumnae Family & Friends day, this year is much more than ever before... there will be Games, Basketball, Races, Football, Nyama choma and Golden & colourless liquids to pour'dem bottles.. togather with our experience & excluzee DJ groovin us with great music of all the time from 80's of Laison to Supra time @ Loyola High School Campus.. itakuwa NOOUUUUMAAA... Mimi nitakuwepo... njoo Wewe, Yeye, Yule,  huyo na wale..!!
 
Tarehe 6 October 2012 kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea ratiba yako iache waaaziiii.....Tukutane paleeee viwanja vya Loyola High School......Mabibo Farasi
 
'Men and women for others'......that's our motto.
 
Mlete rafiki/mume/mke/mchumba/mchuchu/familia na yeyote yule atakayependa kujiunga nasi kwa kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2000/=)
ture-visit the past.....karibuniiii....

0 comments:

Post a Comment