Social Icons

Monday, 29 October 2012

MWANAMKE KHANGA, KITENGE UMBEA....


 
 
Unaijua maana ya msemo huu....'Mwanamke Khanga, kitenge umbea'
 
Je wajua matumizi ya haya....
 
  •  Leso au handkerchief
  • Msala wa kumsinga mume
  •  Faida za biringanya na je ukipika unamenya maganda yake (wamlisha mwenzio makapi bibi weee)
  • Asali mbichi ya nyuki wadogo wadogo
  • Matumizi ya mti wa aloe vera unajua faida zake kwako na kwa mzee
  • Mdalasini kwa mume na asali
  • Pipi kifua we ulijua ya kumung'unya tu we kalaghabaho
  • Usafi je wa kwake na kwako
Bila kusahau mengine meeengi ya kinaturali zaidi hakuna mchina hapo........wataka kujua zaidi ungana nasi tarehe 07/12/2012
 
Kila kitu hadharani ukiwa na aibu usije, ukijiona mdogo subiri ukomae kwanza ndio uje sio uanze kuziba macho bibi weee inahuuuuu
 
Kwa habari zaidi kadiri tunavyokaribia tarehe 07/12/2012 Majestic Hall - Sinza kiingilio 30,000/- sare ni white vest na kikoi rangi yoyote mradi uwe huru tu kuvurumisha nyonga bibi.

kadi zinaanza kutolewa 02/11/2012 wahi yako mapema nafasi chache

Pitia pitia Mwanadada blog na http://rosemarymizizi.blogspot.com 
 
 Ya kufungia mwaka bibi, wazungu wamesema 'Ignorance is not an excuse' njoo ujifunze na wenzio huku ukiburudika kwa chakula murua na muziki wa maana bila kusahau kungwi la mujini......habari ndio hiyo......
 


0 comments:

Post a Comment