Social Icons

Tuesday, 30 October 2012

ANASTAHILI PONGEZI ZA DHATI......


 
Feel Free To Visit oR L̲̅][̲̅I̲̅][̲̅K̲̅][̲̅E̲̅] [̲̅T̲̅][̲̅H̲̅][̲̅I̲̅][̲̅S̲̅] [̲̅P̲̅][̲̅A̲̅][̲̅G̲̅][̲̅E̲̅]- https://www.facebook.com/pages/Furahia-Maisha/145897328879797


Usafiri wa treni ndio huoo umeanza jijini Dar-es-salaam!! Je, unadhani utasaidia kupunguza foleni? Na Je, kati ya treni na daladala, wewe utachagua nini? Je, biashara ya daladala mahali fulani fulani ndio itakufa? Funguka tusikie maoni yako kuhusu suala hili!!

Abiria waliosafiri kutoka Pugu Mwakanga wakiwasili kwenye Stesheni ya Tazara.


Bravo Mwakyembe tunahitaji wengine kama wewe.
Mungu Ibariki Tanzania....

1 comments:

  1. yap kwakweli twahitaji mambo mazuri kama haya......you go baba

    ReplyDelete