Nimepata maombi ya kuandika article inayoongelea jinsi ya kuchagua aina ya nywele kulingana na uso wa mtu. Karibuni.......
Nywele ni moja ya mapambo ya muhimu sana kwa mwanamke na muonekano wake. Kila mwanamke anapenda kuwa na nywele zinazopendeza na kuvutia. Napenda kubadili style yangu ya nywele kadiri muda unavyoruhusu na nikiwa smart kichwani nakuwa ninajiamini zaidi.
Tunapoenda saloon au kwa wasusi huwa mara nyingi tunategemea ujuzi wao utupendezeshe sio wote tunaojua nini tunachokitaka na nini kinatupendeza. Jinsi ninavyopenda kubadili style zangu za nywele kila mara nimejifunza mengi kuhusu jinsi ya kuchagua hairstyle inayoendana na uso wako.
Hii picha inatupa idea ya aina ya sura zetu na muonekano wake.
- Round face/Uso wa Duara:
Ukiwa na uso wa duara style ya nywele itakayokupendeza ni ile:
- Isiyoleta nywele usoni kama kuweka fringe
- Isiyoongeza ukubwa wa kichwa chako kwa kukusanya nywele katikati ya kichwa chako
- Nywele ndefu zenye mawimbi/curls zitakupendeza
- Kama unatumia weaving lisiwe refu zaidi ya kupita mabega
- Oval face:
Ukiwa na uso wa oval kila aina ya style itakupendeza hawana limitations ziwe fupi, ndefu, straight, curly, zimebanwa au zimeachiwa
- Square face:
- Heart Face:
- Diamond face:
- Oblong face:
Natumai aliyeniuliza nimecover swali lake.....karibuni.......
No comments:
Post a Comment