Baba mpendwa ni miezi miwili sasa toka ulipotutoka 15/04/2012 tunakukumbuka sana na hasa leo unakumbukwa zaidi sababu ni siku ya baba duniani. Kawaida yetu tungepiga soga leo na kucheka na kutaniana. Ulikuwa zaidi ya baba ulikuwa rafiki yangu wa karibu na mshauri wangu hasa kwenye mahusiano na mambo mbalimbali yanayohusu wanaume, ulitoa ushauri wako huku ukisema ila wewe ni binti mkubwa sasa ila you're still my little girl!
Kimwili haupo nasi ila kiroho tuko pamoja.
We miss you, William Mwakabaga
Msalimie mama na wapendwa wengine waliotangulia mbele ya haki najua uko mahali salama na uwapendao.
You were my strength when I was weak, you taught me all and everything about men, you were the best father I could ever wish for, you made me stand strong facing the world, I learnt it all through you, your smiles and laughs made the days lighter, I am who I am because I had you as my father and my dad.....I miss you dad may your soul rest in perfect peace....Happy father's day William Mwakabaga I will always make you proud of me! |
No comments:
Post a Comment