Kuna aina mbalimbali za shape ya sura kama zifuatavyo:
UNA OVAL FACE SHAPE KAMA:
Sura yako ni ndefu kidogo kuliko kuwa pana
- Paji la uso ni pana kidogo kuliko taya
- Sura yako ni pana kiasi kwenye mashavu ya uso
- Aina zote za hereni ziwe ndefu\chandelier au ndogo\studs zinapendeza
Hereni gani zinafaa:
UNA USO WA DIAMOND KAMA:
Taya\Jawline ni refu kiasi
Uso wako ni mrefu zaidi kuliko upana wake.
Paji la uso ni jembamba kiasi
Uso wako ni mpana hasa sehemu za mashavu
Hereni gani zinafaa:
- Muhimu ni kuchagua hereni nyembamba ili kuongeza upana kiasi wa taya\jawline
- Hereni ambazo ni nyembamba juu na nene chini zinafaa zaidi
- Hereni fupi na nene, studs, zenye maumbo ya duara\oval
- Epuka hereni ndefu nyembemba zitaongeza urefu wa kidevu chako
UNA USO OBLONG KAMA:
NB: Samahani sikupata maana ya oblong kwa kiswahili
Uso wako ni mrefu zaidi kuliko upana
- Paji la uso, mashavu na taya yana urefu karibia sawa
Taya\Jawline ina umbo la duara
- Muhimu ni kuchagua hereni ambazo ni pana kiasi kuliko ndefu ili kubalance shape ya uso
- Hereni za duara\round,square na zenye umbo la kutanda kama feni hivi
- Hereni ndogo na fupi\studs au zile ndefu\chandelier
- Hereni kubwa
- Hereni ambazo ni ndefu zinazoanguka lakini zisipite urefu wa kidevu
- Epuka hereni flat au nyembamba zinazoanguka
UNA USO WA SHAPE YA MOYO\HEART FACE KAMA:
Uso wako ni mrefu kiasi kuliko upana wake
Paji lako la uso ndio sehemu pana zaidi katika uso wako au upana wake unalingana na wa mashavu yako
Taya\Jawline ni refu na lenye ncha kiasi toka sehemu za mashavu yako
Hereni gani zinafaa:
- Muhimu ni kuchagua hereni zenye shape ya kuongeza urefu wa uso na upana katika mashavu\jawline
- Hereni zinazoning'inia\chandeliers ambazo ni nyembamba juu na pana chini
- Hereni zenye umbo la mstatili\rectangle na zenye mduara\oval
- Epuka hereni ambazo zina shape ya uso wako ambazo ni nene juu na nyembamba chini
Hereni zinazofaa watu wenye uso wa Heart Face
UNA USO WA MSTATIRI\TRIANGLE FACE KAMA :
Uso wako ni mrefu zaidi ya upana wake
Paji lako la uso ni sehemu nyembamba zaidi
Taya\Jawline ni sehemu pana zaidi katika uso wako
Paji lako la uso ni sehemu nyembamba zaidi
Taya\Jawline ni sehemu pana zaidi katika uso wako
Hereni zipi zinafaa:
- Muhimu ni kuvaa hereni ambazo ni ndefu zaidi kuliko pana lengo ni kubalance urefu na upana wa mashavu
- Hereni ndefu za mduara\oval
- Hereni zenye mikunjo\curves kwa chini
- Epuka hereni zenye umbo la mstatiri
UNA USO WA PEMBE NNE\SQUARE FACE KAMA:
Uso wako ni mrefu kiasi kuliko upana wake
Paji la uso ni sehemu nyembamba zaidi
Taya\Jawline ni sehemu pana zaidi
Paji la uso ni sehemu nyembamba zaidi
Taya\Jawline ni sehemu pana zaidi
- Your face is slightly longer than wide
- Muhimu ni hereni ambazo ni ndefu zaidi kuliko pana
- Hereni ndefu zinazoning'inia\chandelier
- Hereni zenye ngazingazi\multi-tiered
- Hereni fupi\studs
- Epuka hereni zenye shape ya mstatiri\square
Hereni gani zinafaa:
UNA USO DUARA\ROUND FACE KAMA:
Uso wako unalingana kwa urefu na upana wake
Uso ni mpana zaidi kwenye mashavu\cheekbones
Taya lina umbo la mduara\round
Mwanzo wa nywele zako una umbo la mduara
Hereni gani zinafaa:
- Muhimu ni kuvaa hereni ambazo ni ndefu zaidi kuliko pana ili kubalance
- Hereni ndefu zinazoning'inia\chandelier\drops
- Hereni za square\oblong\mduara na zinazoning'inia za mstatiri\square drops
- Epuka studs\hereni fupi au zile kubwa nene chini zitazidisha upana wa sura yako
No comments:
Post a Comment