- Una pear shape ukiwa na mabega membamba na nyonga/hips kiasi kupita eneo la juu
- Lengo ni kuvaa nguo ambazo zitabalance mwili, hasa zile zenye kuongeza balance sehemu yako ya juu
- Miguu huwa inakuwa mifupi kiasi kuliko mwili kubalance waweza kuongeza urefu wake kwa kuvaa heels kama ni mpenzi
- Accessories na design za nguo zinazoleta attention katika sehemu ya juu ya mwili wako
- A - line skirts au sketi zilizochanua
Inverted Triangle
Shape ya inverted triangle wana mabega makubwa na nyonga nyembamba kiasi
- Lengo ni kuongeza balance sehemu ya chini ya mwili
- Mara nyingi huwa ni warefu na wenye miguu mirefu
Nini cha kuvaa:
- Nguo ambazo zitaleta attention sehemu ya chini ya mwili
Hourglass shape\umbo namba nane:
- Nguo aina zote zinapendeza wenye shepu hii
Nini cha Kuvaa:
Pear Shape
Nguo zote ambazo zinatoa msisitizo mbali na sehemu ya tumbo
Nini cha kuvaa:
thnx
ReplyDelete