Social Icons

Tuesday, 31 January 2012

What Not to Wear....To the office.....

Hiki ni kisegment kingine kipya cha nini cha kuvaa na kutokuvaa sehemu mbalimbali mfano kazini, kwenye interview, kanisani, kwenye harusi na kadhalika. Tutakuwa tunaangalia mambo mbalimbali kuhusiana na mavazi na muonekano.

karibuni sana......

Leo tutaanza na.....

Nini si cha kuvaa Ofisini:

  • Nguo zinazoonyesha sana maungo ya ndani.Mikanda ya sidiria, mistari ya chupi si vitu vya kuvionyesha kazini kwa wafanyakazi wenzio.
Too much cleavage

  • Nguo fupi sana zinaonyesha kuwa unajaribu kujazia mapungufu yako ya utendaji kwa njia nyingine.
Too-short skirt

  • Nguo zinazoonyesha ndani/see-through clothes. Angalia nguo uliyovaa kwenye mwanga asilia kabla hujaondoka kuhakikisha huonyeshi zaidi ya vinavyotakiwa kuonekana.
See-through clothes

All the best .....




           




    0 comments:

    Post a Comment