
Usikubali kukosa Kongamano hili la wajasiriamali,Njoo upate elimu ya ujasiriamali,njoo uzijue siri za mafanikio,kutana na wajasiriamali wenye mafanikio baada ya changamoto mbalimbali,njoo ujitangaze ujulikane ww nani na unafanya biashara gani.Finca watakuepo.Itafanyika Majestic Hall, Jumapili Ijayo tarehe 02 june,jipatie tiket yako leo kwa 20,000/=Meza ya kufanyia biashara ni 10,000/= 0753643934 or 0654450200
0 comments:
Post a Comment